WANAFUNZI wa shule ya Sekondari Mkabuye iliyopo wilaya ya Kibondo mkoani Kigoma wametoa shukrani zao kwa Rais Samia Suluhu ...
OFISA Habari na Mawasiliano wa Yanga, Ally Kamwe ameweka wazi dau la mshambuliaji wa klabu hiyo Clement Mzize anayewindwa na ...
Kuanza mwaka mpya ni hatua muhimu inayokuja na matumaini mapya na fursa za kuleta mabadiliko katika maisha yetu.
Mchengerwa ametoa agizo hilo katika hafla ya utiaji saini wa mkataba wa ujenzi wa Soko Kuu la Majengo na vituo vya daladala jijini Dodoma kupitia mradi wa uboreshaji miundombinu ya Miji (TACTIC) awamu ...
WATAALAMU wa sekta ya ununuzi wa umma wameaswa kuzingatia maadili ya taaluma ya fani yao katika usimamizi wa miradi ya umma ...
Mathalani, hivi karibuni wavuvi wapatao 500 kutoka Kata ya Nanganga na Mtowisa waliokuwa wanaendelea na shughuli za uvuvi ...
MJADALA katika toleo lililopita ulibainisha kuwa, maboresho ya kodi na miundo ya ujumuishaji ya hatua kwa hatua ...
BUNGE limeazimia serikali ijumuishe mazao ambayo bado hayajaingizwa kwenye mfumo wa stakabadhi za ghala ikiwemo kahawa. Mwenyekiti ...
Ujenzi wa bwawa la Kidunda lenye matumizi mbalimbali katika mkoa wa Morogoro umefikia asilimia 27 kukamilika, maafisa ...
WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameelezea msimamo wa Tanzania kuhusu mabadiliko ya sera za misaada ya Marekani chini ya utawala ...
KATIBU Mkuu wa Umoja wa Mataifa, Antonio Guterres, amelikataa pendekezo la Rais wa Marekani, Donald Trump, la kudhibiti ukanda wa Gaza.