Osmani Kazi amesema kitendo cha mwamuzi Abel William kuinua juu kadi mbili ni tukio ambalo halina makosa yoyote.
Staa wa Brazil Neymar, jana alicheza mchezo wake wa kwanza wa Ligi Kuu ya nchi hiyo akiwa na Santos na kuisaidia timu yake ...
Wadau wa nishati nchini wamependekeza vyama vya siasa vieleze katika ilani zao za uchaguzi mkakati wa kuwezesha nishati safi ...
Baada ya kuiondoa Tottenham Hotspur katika nusu fainali ya Kombe la Carabao sasa Liverpool itavaana na Newcastle katika fainali itakayochezwa Machi 16, 2025 kwenye uwanja wa Wembley.
Mtukufu Aga Khan (88) alifariki dunia Jumanne Februari 4, 2025, jijiji Lisbon, Ureno akiwa amezungukwa na familia yake.
Kabla ya kutimka kwa aliyekuwa kocha wa Yanga, Sead Ramovic hakuwahi kumchezesha winga mpya wa timu hiyo, Jonathan Ikangalombo ‘Ikanga Speed’ na kuibua maswali itakuwaje baada ya jamaa kusepa?
Mkazi wa Jiji la Dar es Salaam, Nargis Omar(70) amefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kujibu mashtaka mawili ya ...
Iwapo wazazi watazingatia malezi kwa siku 1000 za kwanza zitasaidia kumkinga mtoto na maradhi 13 ikiwamo kupunguza vifo vya ...
Makamu wa Rais, Dk Philip Mpango amewataka vijana nchini waliobahatika kuwa na wazazi walio hai kujenga utamaduni wa ...
Mawaziri wameshambulia kujibu hoja za wabunge, huku Naibu Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Daniel Sillo akitaja mikakati ya ...
Januari 23, 2024, Baraza la Mitinani la Tanzania (Necta) lilitangaza matokeo ya kidato cha nne yaliyoonyesha shule 110 zilifaulu kwa kupata umahiri wa daraja A.
Serikali imezialika sekta binafsi, hususan wamiliki na waendeshaji wa viwanda juu ya fursa mpya ya kutumia mabaki ya ...